• Home
  • About

Mkude simba kuja na video pamoja na filamu

 Msanii wa filamu za vichekesho Kitale 'Mkude simba' ame sema ame pata mafanikio makubwa kutokana na miito ya simu kutumia vichekesho vyake vya uhusika wa mkude simba, Kwasasa ana tarajia kutoka Video na fialamu,


 Kitale ame sema kua brand ya Mkude simba ime kua kuliko hata jina lake hali iliyo mfanya kufikiri kufanya vitu vikubwa zaidi,
 " Impact ya jina mkude simba ni kubwa sana, Kuna mambo mengi nime fanya teyari kutokana na miito ya Mkude simba na bado kuna watu wana hitaji kufanya nao kazi nisinge penda kuwa weka wazi, Watu wame pokea kwa kishondo sana nikaona huu ndio wakati, Sasa nakuja na video za mkude simba ambazo stori zake zina tokana na audio na movie ya mkude simba itakua ina ji tegemea yenyewe mpaka kwenye stori, Sema kutakua na baadhii ya matukio yata kuwapo". Alisema Kitale..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...