• Home
  • About

Hiki ndicho kitu kipya kutoka kwa Nick wapili akishirikiana na Benpoul pamoja na Gnako..


Niki wa II kutokea kundi la weusi akishirikiana na Benpoul pamoja na member mwingine kutokea ndani ya kundi hilo la weusi Gnako ana kuja na kitu kipya kinacho tarajiwa kuachiwa tarehee kumi na nane mwezi huu.Ngoma hiyo iliyo pewa jina la 'Sitakikazi' ina mchanganyiko wa RnB ikiwa chini ya producer Nahreel.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...