• Home
  • About

Hiki ndicho alicho sema Diamond Platnumz juu ya kuvuja kwa wimbo wake 'Kitorondo'

 Hii ni kwamara nyingine tena kwa nyimbo kutoka kwa msanii mkali ama nyota wa Bongo flavour Naseeb Abdul 'Diamond platnumz' kuvuja, kwa marahii nikua nyimbo yake ambayo ipo stoo na bado haija be relesed inayo enda kwa jina la 'kitorondo' ame ikuta kwenye social networks yaani mitandao ya kijamii,

Kupitia acount yake ya Instagram Diamond ame andika kua,
 "Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nime ikuta mtandaoni na sijui ime fikaje ,tena ikiwa kwenye mfumo wa voicenote,yaani haina quality kabisaa..Tafadhari,Kwa yeyote atakae ipata asi itumie kwenye media ama hadharani,kwasababuhaija toka na haiko Qualified" Ali andika hivyo diamond

story

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...