• Home
  • About

DR.Cheni aruhusiwa leo kutoka hospitali alipo kua ame lazwa...

 Mahsen Awadh 'Docta cheni' ame ruhusiwa leo kutoka hospitali alipo kua mae lazwa kutokana na ugonjwa wa Dengue ulio mpata siku za usoni.Msanii huyo wa filamu alikua maelezwa katika hospitali ya Buruhani iliyopo jijini Dar es salaam.Katika ukurasa wake wa Instagram Dr.Cheni ali andika kua.
 "Asanteni ndugu jamaa marafiki washabiki kwa dua zenu nime ruhusiwa leo sina chakuwalipa kwa sala (Maombi) yenu amin".

 Dr.Cheni ali lazwa May6 mwaka huu kutokana na ugonjwa huo wa dengue ulio sababisha aishiwe nguvu na ku pungukiwa damu mwilini.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...