• Home
  • About

David luiz afaulu kuingia PSG


Beki wa Chelsea na Timu ya Taifa ya Brazil David luiz amefaulu vipimo tayari kutimkia PSG kwa uhamisho ambao utavunja rekodi,Bado Chelsea na PSG wanafanya mazungumzo ili kufikia makubaliano hayo..
j_dc316.jpg

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...